Mchongoano reloaded 2011
Ati TV yenu ni small mpaka iko na scrollbars.
Hao yenyu ni ndogo, ukiingia, umetoka.
Wewe mweusi mpaka ukirushiwa mawe, mawe inarudi kuitisha torch
Wewe mgondi mpaka ukishikilia ten bob Moi anabaki na vest peke yake
Budako ni fala alienda airport akauliza kama kuna ndege pick-up
Budako fala alipaint aerial ya TV yenu ndiyo ireceive color
Wewe ni bowlegged na manzi wako ni knock-kneed, mukisimama pamoja muna spell 'OX'

Paka wenu ni mnoma mpaka aki shika panya inaitisha chumvi
Nyinyi ni mababi mpaka mnapikanga chapo na Robb ndio zikue chapo menthol
Wewe ni mblack mpaka ukikutana na mzungu morning anakushow 'good evening?''.
Ngombe yenu ni mzee mpaka inatoanga yogurt.
Nyinyi kwenu mumesota mpaka mna-kunywanga chai kwa kifuniko ya Bic.
Budako ni fala, alienda kubuy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka.
Nyanyako mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.
TV yenyu ndogo mpako mukiwatch 100m athletics munalizia kuiona kwa ma neighbours.
Doggy yenu noma, inabark ikitweng 'werf!! werf!!''
Budako mrefu mpaka anauza mahindi kwa watu kwa plane
ati wewe mweusi mpaka unaacha fingerprints zako kwa makaa
ati mathako mnono akivaa nguo ya yellow watu hufikiria ni taxi
we ni mweusi mpaka mabeste wakikupita wanasema"haiya cheki shortcut!"
Brother yako ako na skin tight mpaka aki-wink mguu moja inainuka
Nyi muko wengi hadi mukipigwa family photo wengine wanahang kwa frame
ati wewe ni mweusi mpaka badala ya wasee kukuita wao huimba ile advert ya kiwi" hebu jitokeze , jionyeshe simama mbele ya watu..."